China Yaikosoa Marekani kwa Kuwazuia Wanafunzi wa Kigeni

China Yaikosoa Marekani kwa Kuwazuia Wanafunzi wa Kigeni

Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China, Mao Ning, amesema, hatua hiyo ya utawala wa Donald Trump bila shaka itadhuru sura na hadhi ya kimataifa ya Marekani.

Kauli ya China inakuja baada ya Washington kufutilia mbali haki ya Chuo Kikuu cha Harvard kuandikisha wanafunzi wa kigeni, wengi wao wakitoka China.

Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China, Mao Ning, amesema, hatua hiyo ya utawala wa Donald Trump bila shaka itadhuru sura na hadhi ya kimataifa ya Marekani.

Uongozi wa chuo cha Harvard umeitaja hatua hiyo kama ongezeko jipya katika mashambulizi ya serikali ya Marekani dhidi ya mfumo wa elimu ya juu.

Takwimu za chuo cha Havard ambacho ni miongoni mwa vyuo vikuu bora duniani, zimeonyesha kuwa wanafunzi Elfu sita na mia saba, (6,700) sawa na aslimia 27 ya jumla ya wanafunzi wake wanatoka nje.

Taasisi hiyo, imetoa mafunzo kwa washindi 162 waliotunukiwa Tuzo ya Nobel, ina wasiwasi kuhusu madhara hasi ya hatua hii kwa mustakabali wa kitaaluma wa wanafunzi wake wa kigeni.

Related Articles

Visitor Counter

000970
Today: 1
Yesterday: 14
This Week: 18
Last Week: 49
This Month: 122

Opening Hours

  • Monday: 8.30am–6.30pm
  • Tuesday: 10.00am–8.00pm
  • Wednesday: 8.30am–6.30pm
  • Thursday: 8.30am–7.00pm
  • Friday: 8.30am–3.00pm
  • Saturday: 8.30am–2.00pm
  • Sunday: 8.30am–2.00pm

Contact Us

Kanani A Road, Mumasama Street,

P.O.BOX, 137

Ngara, Tanzania

Mobile:  +255 744 172 741

Email: info@ishizwemedia.co.tz