Jaji wa Umoja wa Mataifa Afungwa Jela kwa kumfanya  Mfanyakazi wake wa  Nyumbani kuwa Mtumwa.

Jaji wa Umoja wa Mataifa Afungwa Jela kwa kumfanya Mfanyakazi wake wa Nyumbani kuwa Mtumwa.

Jaji wa Umoja wa Mataifa aliyejulikana kwa jina la Lydia Mugambe (50), amehukumiwa kifungo cha miaka sita na miezi nane jela kwa kumlazimisha mwanamke kufanya kazi kama mtumwa wa nyumbani.

Lydia Mugambe alikuwa akisomea Shahada ya Uzamivu katika Chuo Kikuu cha Oxford wakati polisi walipogundua kuwa alikuwa na msichana mdogo wa Kiganda nyumbani kwake akifanya kazi isiyolipwa kama mjakazi.

Mugambe, ambaye pia ni jaji wa Mahakama Kuu nchini Uganda, alihukumiwa kufungwa katika Mahakama ya Oxford Mei 02, 2025 baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya utumwa wa kisasa mwezi Machi.

 

Related Articles

Visitor Counter

000970
Today: 1
Yesterday: 14
This Week: 18
Last Week: 49
This Month: 122

Opening Hours

  • Monday: 8.30am–6.30pm
  • Tuesday: 10.00am–8.00pm
  • Wednesday: 8.30am–6.30pm
  • Thursday: 8.30am–7.00pm
  • Friday: 8.30am–3.00pm
  • Saturday: 8.30am–2.00pm
  • Sunday: 8.30am–2.00pm

Contact Us

Kanani A Road, Mumasama Street,

P.O.BOX, 137

Ngara, Tanzania

Mobile:  +255 744 172 741

Email: info@ishizwemedia.co.tz