Mbunge Ahoji Kagera Kutajwa Mkoa Masikini

Mbunge Ahoji Kagera Kutajwa Mkoa Masikini

Mbunge wa Viti Maalumu, Bernadetha Mushashu, amehoji sababu ya Mkoa wa Kagera kuwa miongoni mwa mikoa mitano ya mwisho kiuchumi, wakati ukitazama maisha ya wananchi mkoani humo kiuhalisia yapo vizuri ikiwemo makazi.

Ametoa kauli hiyo leo Juni 13, 2025 kwenye mdahalo wa uchambuzi wa bajeti ya mwaka 2025/26 uliofanyika Ukumbi wa Msekwa, bungeni mjini Dodoma, ukihusisha wabunge na wataalamu wa mambo ya uchumi na fedha kutoka Wizara ya Fedha, Benki Kuu (BoT) na Tume ya Taifa ya Mipango, ambao waliwasilisha mada na kisha wabunge kuchangia.

Hata hivyo akitoa ufafanuzi kwenye mdahalo huo, Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango, Dk Fred Msemwa, amesema kilichokuwa kinaifanya Kagera ivutwe chini kilisababishwa na Wilaya ya Biharamulo, lakini sasa anaamini ukifanyika utafiti mwingine hali inaweza kubadilika.

Related Articles

Visitor Counter

000960
Today: 5
Yesterday: 3
This Week: 8
Last Week: 49
This Month: 112

Opening Hours

  • Monday: 8.30am–6.30pm
  • Tuesday: 10.00am–8.00pm
  • Wednesday: 8.30am–6.30pm
  • Thursday: 8.30am–7.00pm
  • Friday: 8.30am–3.00pm
  • Saturday: 8.30am–2.00pm
  • Sunday: 8.30am–2.00pm

Contact Us

Kanani A Road, Mumasama Street,

P.O.BOX, 137

Ngara, Tanzania

Mobile:  +255 744 172 741

Email: info@ishizwemedia.co.tz