Serikali Kujenga Vituo Sita vya Forodha Mwaka wa Fedha 2025/2026

Serikali Kujenga Vituo Sita vya Forodha Mwaka wa Fedha 2025/2026

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema kuwa ina mpango wa kujenga vituo sita vya forodha mipakani katika mwaka wa fedha ujao wa 2025/26.

Hayo yamesemwa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Hassan Chande (Mb), alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Oliver Daniel Semuguruka, aliyetaka kujua mpango wa Serikali wa kuanza ujenzi wa Kituo cha Forodha katika Kijiji cha Mukikoro, Kata ya Mugoma - Ngara.

Chande alisema kuwa Serikali imetenga jumla ya shilingi bilioni 1.1 ya ujenzi wa vituo Sita vya forodha kikiwemo kituo cha forodha Mugoma kilichopo Wilaya ya Ngara, mkoani Kagera mpakani mwa Tanzania na Burundi kwa mwaka ujao wa fedha.

 

Related Articles

Visitor Counter

000531
Today: 5
Yesterday: 9
This Week: 41
Last Week: 32
This Month: 14

Opening Hours

  • Monday: 8.30am–6.30pm
  • Tuesday: 10.00am–8.00pm
  • Wednesday: 8.30am–6.30pm
  • Thursday: 8.30am–7.00pm
  • Friday: 8.30am–3.00pm
  • Saturday: 8.30am–2.00pm
  • Sunday: 8.30am–2.00pm

Contact Us

Kanani A Road, Mumasama Street,

P.O.BOX, 137

Ngara, Tanzania

Mobile:  +255 744 172 741

Email: info@ishizwemedia.co.tz