Serikali Sasa Yamiliki Kiwanda cha TBPL Asilimia 100

Serikali Sasa Yamiliki Kiwanda cha TBPL Asilimia 100

Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema Serikali sasa inamiliki kwa asilimia 100 kiwanda cha Teknolojia ya Kutengeneza viuadudu (TBPL) kilichopo Kibaha, mkoani Pwani.

Ametoa kauli hiyo leo, alipokuwa akichangia kwenye mdahalo wa uchambuzi wa bajeti kwa wabunge, ambapo baadhi ya wabunge waliulizia kuhusu kiwanda hicho hasa katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa malaria.

Amesema tayari wameshamalizana na wenzao wa Cuba kuhusu kiwanda hicho na ndiyo sababu kwenye bajeti ya mwaka 2025/26 ya Tamisemi, wametenga bajeti kila halmashauri kwenda kununua dawa kwenye kiwanda hicho kutokana na maelekezo ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan.

Related Articles

Visitor Counter

000969
Today: 14
Yesterday: 3
This Week: 17
Last Week: 49
This Month: 121

Opening Hours

  • Monday: 8.30am–6.30pm
  • Tuesday: 10.00am–8.00pm
  • Wednesday: 8.30am–6.30pm
  • Thursday: 8.30am–7.00pm
  • Friday: 8.30am–3.00pm
  • Saturday: 8.30am–2.00pm
  • Sunday: 8.30am–2.00pm

Contact Us

Kanani A Road, Mumasama Street,

P.O.BOX, 137

Ngara, Tanzania

Mobile:  +255 744 172 741

Email: info@ishizwemedia.co.tz