Waziri mkuu azindua lango la utalii hifadhi ya Mkomazi

Waziri mkuu azindua lango la utalii hifadhi ya Mkomazi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Machi 25, 2025 amezindua lango la kuingia na kutoka watalii la Ndea kwenye hifadhi ya Taifa ya Mkomazi lililopo Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro.

Uzinduzi wa lango hilo ambalo limegharimu Shilingi Milioni 350 ni sehemu ya maboresho makubwa yaliyofanywa na Serikali ya awamu ya sita ili kuchochea na kuongeza vivutio vya utalii nchini.

Akitoa taarifa ya lango hilo mhifadhi Mkuu Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi, Emmanuel Mwailama amesema ujenzi wa lango hilo utaongeza idadi ya watalii katika mbuga hiyo ambao wengi wanakwenda kuona maisha ya wanyama pembezoni mwa ziwa Jipe, Faru weusi pamoja na Tembo

Related Articles

Visitor Counter

000536
Today: 5
Yesterday: 5
This Week: 46
Last Week: 32
This Month: 19

Opening Hours

  • Monday: 8.30am–6.30pm
  • Tuesday: 10.00am–8.00pm
  • Wednesday: 8.30am–6.30pm
  • Thursday: 8.30am–7.00pm
  • Friday: 8.30am–3.00pm
  • Saturday: 8.30am–2.00pm
  • Sunday: 8.30am–2.00pm

Contact Us

Kanani A Road, Mumasama Street,

P.O.BOX, 137

Ngara, Tanzania

Mobile:  +255 744 172 741

Email: info@ishizwemedia.co.tz